MKOPO WA MAENDELEO

-

Mkopo huu hutolewa kwa kipindi kisichozidi miezi sitini (MIAKA MIATANO).

Mkopo huu hutolewa kwa kiasi kisichozidi MILIONI THERATHINI.

Riba ya mkopo huu ni Asilimia 13% kwa mfumo wa kushuka.

Sifa za mwanachama kupata mkopo huu, Awe mwanachama hai mwenye Akiba na anauwezo wa kukatwa kupitia mshahara wake

FOMU YA MKOPO WA MAENDELEO

WADHAMINI

Hakikisha wadhamini wawili ambao ni wanachama hai wa BURUTE SACCOS LIMITED wamekusainia fomu yako